Siku ya Kwanza:
KIFUNGUA KINYWA:
- Chai ya Soya, Mkate vipande viwili (mweupe au wa brown)
SAA 4 ASUBUHI
- Juisi freshi au kikombe cha chai au tunda
CHAKULA CHA MCHANA
- Ndizi mchemsho ,Samaki mchemsho na mbogamboga
SAA 10 JIONI
- Kikombe cha Chai ya Soya au tunda
CHAKULA CHA USIKU
- Viazi mviringo mchemsho na mbogamboga na tunda
Siku ya Pili:
KIFUNGUA KINYWA:
- · Chai ya Soya au chai ya maziwa na Soya, Mkate vipande viwili (mweupe au wa brown)
SAA 4 ASUBUHI
- · Juisi freshi au maziwa au tunda
CHAKULA CHA MCHANA
- · Ugali wa dona, kuku mchemsho na mboga mboga
SAA 10 JIONI
- · Kikombe cha Chai ya Soya au tunda
CHAKULA CHA USIKU
- · Viazi mviringo mchemsho na mbogamboga na kachumbari ya karoti (mbichi)
Siku ya Tatu:
KIFUNGUA KINYWA:
- Chai ya Soya au chai ya maziwa na Soya,Ndizi za kuchemsha
SAA 4 ASUBUHI
- Juisi freshi au tunda
CHAKULA CHA MCHANA
- Ugali wa ulezi, Samaki mchemsho, mboga mboga na tunda
SAA 10 JIONI
- Kikombe cha Chai ya Soya au tunda
CHAKULA CHA USIKU
- Wali, mbogamboga na tunda
Siku ya Nne:
KIFUNGUA KINYWA:
- Chai ya Soya na mkate vipande 2
SAA 4 ASUBUHI
- Juisi freshi au tunda
CHAKULA CHA MCHANA
- Viazi mviringo, maharagwe au njegere
SAA 10 JIONI
- Kikombe cha Chai ya Soya au tunda
CHAKULA CHA USIKU
- Ndizi mchemsho na mbogamboga na tunda
Siku ya Tano:
KIFUNGUA KINYWA:
- Chai ya Soya na mkate vipande 2
SAA 4 ASUBUHI
- Juisi freshi au tunda
CHAKULA CHA MCHANA
- Ugali wa dona, kuku mchemsho na mbogamboga
SAA 10 JIONI
- Kikombe cha Chai ya Soya au tunda
CHAKULA CHA USIKU
- Wali, mbogamboga na kachumbari ya karoti mbichi na tunda
Siku ya Sita:
KIFUNGUA KINYWA
- Chai ya Soya au chai ya Maziwa na soya, mkate vipande 2
SAA 4 ASUBUHI
- Juisi freshi au tunda
CHAKULA CHA MCHANA
- Viazi mviringo, Maharagwe au Njegere
SAA 10 JIONI
- Kikombe cha Chai ya Soya au tunda
CHAKULA CHA USIKU
- Ndizi mchemsho na mbogamboga na tunda
Siku ya Saba:
KIFUNGUA KINYWA:
- Chai ya Soya au chai ya Maziwa na soya, mkate vipande 2
SAA 4 ASUBUHI
- Juisi freshi au tunda
CHAKULA CHA MCHANA
- Wali na kuku mchemsho na mbogamboga
SAA 10 JIONI
- Kikombe cha Chai ya Soya au tunda
CHAKULA CHA USIKU
- Viazi mchemsho na mbogamboga na tunda